The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Wajinga jinga sana hawa unakumbuka ile fainali ya UEFA na Madrid huwa siwaamini sana huwa wanakuwa na matokeo ya ajabu ajabuNi half time sasa hivi. Atlético madrid 0 kibonde Valadollid 1. Ni mechi ya mwisho msimu huu wa la liga. Ushindi ni lazima kwa Atlético watwae ubingwa.
Real Madrid nayo iko half time ikiwa goli moja nyuma dhidi ya vellareal 0-1....
Nani kafungwa bwashee?
Atletico anaongza 2-1Nani kafungwa bwashee?
MATAGA wamegaragazwa NdoroboooNani kafungwa bwashee?
Ni jambo jema bwashee!Atletico anaongza 2-1
Ni half time sasa hivi. Atlético madrid 0 kibonde Valadollid 1. Ni mechi ya mwisho msimu huu wa la liga. Ushindi ni lazima kwa Atlético watwae ubingwa.
Real Madrid nayo iko half time ikiwa goli moja nyuma dhidi ya vellareal 0-1...
Duh!Real Madrid watajuta kumuuza Suarez
Naamini amekosea kwa bahati mbaya tuDuh!
Kama huna ujualo bora unyamaze mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Daah [emoji1]Real Madrid watajuta kumuuza Suarez
Ni mwaka gani Suarez alichezea Real Madrid?Real Madrid watajuta kumuuza Suarez
Aisee!Real Madrid watajuta kumuuza Suarez
Bangi na jua Kali... Unaweza kujikuta unaachia maboko tu.Ni mwaka gani Suarez alichezea Real Madrid?
Ila umetisha asee[emoji23]
Hahahaaaa...... hahahaaaa...... hahahaaaa....... duu!Duh!
Kama huna ujualo bora unyamaze mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ha ha ha ha ha ha haReal Madrid watajuta kumuuza Suarez