jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Habari zenu wandugu,
Mimi ninae mpenzi takribani mwezi wa tatu sasa, ni msichana mwenye umri wa miaka 28 mrembo na mwenye kazi nzuri tu. Tatizo ni kwamba tunapokuwa faragha tukifanya yetu huyu mrembo huwa anatokwa na harufu flani hivi mbaya kwenye k yake, nmejaribu kabla ya kugegeda kuwa tunaoga lakini haikusaidia chochote harufu huwa inatoka kama kawa.
Imefikia kipindi namkwepa anahangaika ananipigia simu na kunisihi nisimwache ila kila nikifikiria hako ka harufu naishiwa humu kabisa. Nampenda na kwasasa naonana nae naenjoy kupiganae story, kula na mengineyo ila kasheshe ni pale akitaka Sex yaani sina humu kabisa. Nmeshindwa kumwambia kuwa ananuka k naomba mwenye ufumbuzi wa tatizo hili anisaidie kwani kila nikitaka kumkimbia namwonea huruma kwani ananipenda sana.
NB: Nilishawahi kuwa na mpenzi kabla yake na alikuwa msafi nilikuwa naenjoy kugegedana nae sana, tulikuwa tukishinda wote hasa wkend namgegeda mpaka goli sita ila huyu sjawahi zidisha goli mbili yaani sina humu nae kabisa.
Karibuni mnishauri wadau