Yani sina humu nae kabisa

jay-millions

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
3,983
Reaction score
10,034
Habari zenu wandugu,

Mimi ninae mpenzi takribani mwezi wa tatu sasa, ni msichana mwenye umri wa miaka 28 mrembo na mwenye kazi nzuri tu. Tatizo ni kwamba tunapokuwa faragha tukifanya yetu huyu mrembo huwa anatokwa na harufu flani hivi mbaya kwenye k yake, nmejaribu kabla ya kugegeda kuwa tunaoga lakini haikusaidia chochote harufu huwa inatoka kama kawa.

Imefikia kipindi namkwepa anahangaika ananipigia simu na kunisihi nisimwache ila kila nikifikiria hako ka harufu naishiwa humu kabisa. Nampenda na kwasasa naonana nae naenjoy kupiganae story, kula na mengineyo ila kasheshe ni pale akitaka Sex yaani sina humu kabisa. Nmeshindwa kumwambia kuwa ananuka k naomba mwenye ufumbuzi wa tatizo hili anisaidie kwani kila nikitaka kumkimbia namwonea huruma kwani ananipenda sana.

NB: Nilishawahi kuwa na mpenzi kabla yake na alikuwa msafi nilikuwa naenjoy kugegedana nae sana, tulikuwa tukishinda wote hasa wkend namgegeda mpaka goli sita ila huyu sjawahi zidisha goli mbili yaani sina humu nae kabisa.

Karibuni mnishauri wadau
 
Ngoja waje wataalamu wakupe ushauri,
japo ungelipeleka kule JF DOCTOR ungeweza pata majibu ya kina.
 
Wanakuja subiri....Tehe
Na akirudia nguo za ndani huyo utatapika ufe. Hzi sketi zinaficha mengi sanaa acheni tu. See JF Doctor.
 
"Maumivu yakizidi muone daktari" husikiagi hili tangazo? K huwa ni safi ukiona hivyo ujue kuna tatizo. Kama demu ana miaka 28 possibly wewe utakuwa above there so play your role as a man if u really love her. Thanks
Mawazao ya busara kama haya ndio mazauri, tumulize kwanza yeye amechukua hatua gani kusmsaidia mtu mzima mwenzake au ndio ameamua kuja kumtangaza na kutaka kumuacha
 
Mkuu kwanza nahisi labda hujampenda kutoka moyoni kwani kwa jinsi nijuavyo mimi mapenzi ni zaidi ya kugegeda.mpaka unaamua kuja kuomba ushauri humu nadhani ungetuambia niliisha kaa nae tukaliongea na tukachukua hatua flani may be tumejaribu kupita mahospitalini lakin imeshindikana.Kwani najua chako ni chako tu lazima ukihangaikie ili uandae mazingira mazuri ya kukifaidi.Ushauri wangu,kaanae mweleze ukweli na umuombe akubali msaidiane kutafuta tiba kwani kwa kesi hiyo nilazima kuna tatizo sio kawaida.
 
Ukweli utawaweka huru. Kaa muongee kwa uwazi tena kinagaubaga natumaini penye wengi hakiharibiki kitu. Lau ningekuwa mimi huyo ningechukua jumla.
 
Anza Tiba inabidi uwe unaninyonya kutwa Mara tatu kwa muda wa mwezi mmoja then uje unipe feedback👅
 
tiba yake ipo nenda hosp anapimwa unapewa dawa anapona hilo ni tatizo dogo.kama vipi ni pm nikuambie dawa
 
You got millions bro, you can afford her a first class medical help or even a new cooch
 
Kuna demu mmoja nilishawahi kukutana nae alikuwa na harufu mbaya sana kwenye K yake. Mara ya kwanza nilijua ndivyo alivyo...nilivyoongea naye akasema hata yeye anashangaa maana zamani hakuwaga hivyo...so tukaenda hospital kachekiwa akapewa dawa. Ile harufu iliisha kabisaa tuka endelea ku ji enjoy. Huwa ni magonjwa tu hasa fungus
 
Candida hiyo kuna vidonge atapewa vinawekwa kwenye k twice a day for five days akimaliza hapo utaipenda k laiiiiini hasa km mjuzi wa kutekenya
 
Kama kweli unampenda,mshauri na mkawaone madaktari wa magonjwa ya akina mama..
 
mmmh fangas nenda katibu mapema isije ikaingia ndani

SASA WANAWAKE HUPANIKI SANA WAKIAMBIWA UKWELI SASA FANYA HIVI

1.tengeneza mazingira mazuri very romantic kama ni kwake kwako au any dating place
2.mwambie baby niambie una tatizo gani ambalo unahis linakunyima raha na unataka nikusaidie au tusaidiane kulitoa
3.kama atakujibu mwambie twende hosptal kama hatakujibu ACHA KWA SIKU HIYO

kesho yake au baadae huko mtumie msg mwambie baby unajua jana kwa nini nili uliza vile niliuliza maana wanawake wana matatizo mengi na hawajui ambayo baadae hupelekea kukosa watoto sasa mimi nataka twebde ujafanye chekup ya mwili wako ikiwemo sehemu za uzazi (HAPO TAYARI USHAONGEA NA DR KWA HIYO AKIFIKA KWA DR YEE DR ATAJUA AMPIME NINI)
ila kama hapo juu atakujibu basi mkono kwa mkono hospital

KUMPATA MWANAMKE ANAEKUPENDA NI NGUMU SANA NOWDAYS USIKUBALI KUMPOTEZA KWA TATIZO DOGO HIVYO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…