Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 4,460 Reaction score 13,715 Oct 3, 2024 #1 Iran ndipo anapompatia silaha hezbollah Iran na Russia ndipo waapopeana silaha na usaidizi mwingine USA ndipo anapopatumia ku-attack adui zake wa middle east ISIS ndipo wanapouzia artifacts za kiajemi walizoiba iraq na syria. Turkey ndipo anapo patumia kupaamabana na resistance ya wakurdi.
Iran ndipo anapompatia silaha hezbollah Iran na Russia ndipo waapopeana silaha na usaidizi mwingine USA ndipo anapopatumia ku-attack adui zake wa middle east ISIS ndipo wanapouzia artifacts za kiajemi walizoiba iraq na syria. Turkey ndipo anapo patumia kupaamabana na resistance ya wakurdi.
Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,414 Reaction score 2,181 Oct 3, 2024 #2 Uzi mzuri, sema ungejazia nyama kwa kuandika kidogo kufafannua kila points yako mifano, vipindi lini hadi lini, thamani ya kila biashara n.k
Uzi mzuri, sema ungejazia nyama kwa kuandika kidogo kufafannua kila points yako mifano, vipindi lini hadi lini, thamani ya kila biashara n.k