Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Ebu ingia hapo UAE, nchi ya Kiarabu iliotajirika, nchi yenye nguvu kuu yaku-attract asilimia kubwa ya wahamiaji kutoka mataifa ya kiarabu mengine lakini ...
Hakuna grooming gangs
Hakuna rape cults
Hakuna extremist organizations
Hakuna extremist charities
Hakuna extremists on welfare
Hakuna terrorist cells
Hakuna backyard Sharia courts
Hakuna Muslim Brotherhood
Hakuna Hamas
Hakuna ISIS
Hakuna Hezbollah
Hakuna IRGC
Hakuna rioting
Lakini njoo uone sasa ulaya. Leo hii Uingereza analia na ongezeko kubwa la ubakaji wa wasichana wadogo unaofanywa zaidi na wahamiaji kutoka pakistan na mataifa mengine ya Kiarabu.
Tatizo sio kuwa uhamiaji ndio chanzo cha hayo yote, ila ni pale unaposhindwa kudhibiti uhamiaji na kutowaekea mipaka mahsusi inapelekea kuingia kwako kiholela na kinachofatia ni wao kufanya mambo kiholela.