Iraq, Iran, Syria na Lebanon, Libya nk ni nchi ambazo zilikuwa zimeendelea sana na usingesikia raia wa kawaida kutoka kwenye hizo nchi eti anakimbilia Ulaya kama sio vita ndani ya nchi hizo.
USA na Ulaya wajaribu kutatua matatizo kwenye nchi za wenzao bila vita.