Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Yani inafika wakati hauna varieties tofauti dukani ila duka lilivyopambwa sasa, mteja akija ana shangaa shangaa tu mataa ila bidhaa hauna. Sasa ndio nini.
Inapelekea hadi wale watu wa kawaida kuogopa kuingia kwa kuhofia bei ni mkasi kwa maana goli lenyewe limekaa kama 5-star hoteli. Kumbe ni mpambanaji zaidi ya mteja.
Alafu ndani unamuweka mdada mmoja ana mashauzi utafikiri baba yake ndio waziri wa biashara na viwanda.
Kinachofatia ni ile kauli "PALIKUWAGA NA DUKA PALE"