ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Ulitaka wapewe wote?Yule tuliyeambiwa kuwa ni daktari wa mpira licha ya kukosa katika wale wanaowania Tuzo, hata kwenye kikosi cha msimu hayupo...!
Khalid Aucho Dr of Football..Nyiee [emoji16]
Tulia utopolo huyo mchezaji wa kawaida sana na hastahili kuwa mchezaji bora.Hivi wale mbumbumbu walio tukejeli kipindi kile kwa kutuambia eti tumesajili wacheza ndombolo ya solo! Ndiyo hawa baadhi yao wanamsifia hapa Yannick Bangala!
Nilipiga tu jiwe gizani.Tulia utopolo huyo mchezaji wa kawaida sana na hastahili kuwa mchezaji bora.
Hapa ni mwanga tu gizani labda huko utopoloni.Nilipiga tu jiwe gizani.
Cha kushangaza yule digidigi Sakho naye yumo kwenye kikosi bora wakati alikuwa anarukaruka tu kama bisiNawajua Wachezaji wazuri na Feitoto ni mmoja wao, wewe kaa na chuki zako za kishabiki. Kesho akihamia Simba urudi kumpambapamba.
Mkuu tulia hata nyie mlimsema Mayele mwanzoni kabisa kuwa mmepigwaa ila si ndo huyu mnamwona kama Cristiano? Huwezi kuzuia wanaadam kusema tena hasa tukiwa wapinzani hahahahahaHivi wale mbumbumbu walio tukejeli kipindi kile kwa kutuambia eti tumesajili wacheza ndombolo ya solo! Ndiyo hawa baadhi yao wanamsifia hapa Yannick Bangala!
Hujui mpira ww kucheza hawaangalii tuu magoliCha kushangaza yule digidigi Sakho naye yumo kwenye kikosi bora wakati alikuwa anarukaruka tu kama bisi
Yaani mimi nimseme Mayele!! Hakuna kitu kama hicho aisee. Wananchi wote kwa umoja wetu tulimuunga mkono Mayele kuanzia mwanzo. Na huu ndiyo uzalendo wenyewe.Mkuu tulia hata nyie mlimsema Mayele mwanzoni kabisa kuwa mmepigwaa ila si ndo huyu mnamwona kama Cristiano? Huwezi kuzuia wanaadam kusema tena hasa tukiwa wapinzani hahahahaha
Wapi weweee sema tuu umesahau wananchi nyie kwa kulalama nani ana waweza?Yaani mimi nimseme Mayele!! Hakuna kitu kama hicho aisee. Wananchi wote kwa umoja wetu tulimuunga mkono Mayele kuanzia mwanzo. Na huu ndiyo uzalendo wenyewe.
Sisi wananchi ni wazalendo sana kwa wachezaji wetu kuliko nyinyi! Imagine hata Chico Ushindi na madhaifu yake, lakini bado tulimtetea humu! .Wapi weweee sema tuu umesahau wananchi nyie kwa kulalama nani ana waweza?
Udaktari ni huko yaan uanze kuitw daktri kweny mpira aache kuchafua kazi za watuYule tuliyeambiwa kuwa ni daktari wa mpira licha ya kukosa katika wale wanaowania Tuzo, hata kwenye kikosi cha msimu hayupo...!
Khalid Aucho Dr of Football..Nyiee [emoji16]