MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Moja kati ya best commentators creative sana kwenye mpira ni huyu mwamba Ayubu hinjo! Moja kati ya goli ambalo huwa ninaenjoy sana kutazama πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pacome kuna mtu alimpiga chenga ni Nani Yule ??Moja kati ya best commentators creative sana kwenye mpira ni huyu mwamba Ayubu hinjo! Moja kati ya goli ambalo huwa ninaenjoy sana kutazama πππ
AahaaaaInonga anacheka tu ππ
Kwa tafiti za haraka, Shobo ni kufuatilia mambo yasiyomhusu, ukiona jambo unaliongelea sana basi jua unalipenda ila hutaki watu wajue hilo....Ukishabikia sana Simba na Yanga kichwani zinapungua Lazima.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE