yap! yap! kwa dada zangu wooooote wa kitz

yap! yap! kwa dada zangu wooooote wa kitz

Naanza kuzunguka kitaa. Hebu niondoke hapa kwenye hili bench, kwanza linaunguza Embu yangu tu.
 
Since you are not a perfect woman, how would you expect to get a perfect man in this world,,,,,??

get used to what you have!!!

Utadoda, bora sisi tuliokwisha jichukulia watu wetu, far from perfect lakini maisha yanakwenda...
 
Madada wengine wanasema kuolewa ni utumwa!
 
Safi sana anaingoja siku ya Bwana huku akiomba, imetulia.
 
aaaaaaaaaaaiiiiiiiiiiiii!!!!!!! mwanaume wake kisha jifiiiiaa siku nyiiiiingiiiiiiiiiiii!! teh teh teh
 
Back
Top Bottom