Ndio vitu gani hivyo mkuu?Ninataka kuweka Decor katika nyumba yangu. Madukani naambiwa kuna Yapfix na Minart. Moja ni imported na nyingine ni bidhaa yetu ya hapa hapa nyumbani
Swali langu kwa wataalamu (mafundi, wateja walioweka katika nyumba zao na wauzaji), X akiweka Yapfix na Y akiweka Minart, mwonekano wa nyumbani unakuwa tofauti?
Nini faida ya yapfix dhidi ya Minart na kinyume chake!
Karibuni
Ndio vitu gani hivyo mkuu?
Ooh ahsante kwa elimu!Ni decorative plasta material ya kutumia nje ya ukuta wa nyumba mbadala wa skiming
Je zinahitaji plaster? Ni water proof? Na kama ni decoration zinahitaji kupaka rangi baadae? Na gharama ni kiasi gani kwa mita mraba?Ni decorative plasta material ya kutumia nje ya ukuta wa nyumba mbadala wa skiming
hii rangi kweny hii minat inaitwaje?Minat decor/decorative plasta. View attachment 2739736View attachment 2739737
Kuna mchanganyiko wa rangi 3,hivyo jina la moja kwa moja hamnahii rangi kweny hii minat inaitwaje?
inakua ipi na ipi?Kuna mchanganyiko wa rangi 3,hivyo jina la moja kwa moja hamna