Yapi ni maji bora kwa ajili ya kunywa?

Maji ya Bomba unayachemsha kwanza ndiyo salama zaidi na affordable.
 
Leo naomba kuuliza iv chemical ni nn mbona tunapenda sana kusingizia chemical kwenye kla kitu
Ebu tuache ushamba wa kudanganyana kua chemical ni mbaya wakat ata mwili ya binaadam ni full of chemical
Ata kupenda ni chemical unapompenda mtu ni chemical uchanganyika kwa akili ndo upelekea upendo mapenzi
Tuache kutumia maneno vibaya bana

Kwa upande wangu maji yyte ni sawa kwa kunywa endapo tu ni safi na salama bas
Chemical ziko kila sehemu ata nguo tunazovaa kuna chemical ata jua linapokuchoma kuna chemical zinatoka na kuingia

Kwa ufupi chemical ziko kla sehemu zinaweza kua natural chemical or artificial
 
Ndiyo, inabaki na scales.. lakini kwa usalama zaidi unaweza kuyachuja
Maji yakishachemshwa ni hatari kwa afya pia.
Usipochemsha unakutana na bacterias
Ukichemsha unakutana na chemicals. (madini yaliyo kwenye chuma zilizotengeneza sufuria.)
 
Nimekuelewa sana mkuu
 
Kunywa ambayo upatikanaji wake hausumbui kwako
 
ni ngumu sana kuyapata labda Distilled water
Ni kweli ππˆπ€ πŠπ”ππ€ 𝐖𝐀𝐓𝐔 π–π€πŠπˆππ€πƒπˆπ‹πˆ πŒπ€π‘π€ πŠπ–π€ πŒπ€π‘π€ π–π€ππ€π”πŒπ–π€ π’πˆπ‰π”πˆ π’π‡πˆπƒπ€ 𝐍𝐈 𝐍𝐍
 
"Maji safi na salama"
Bila kujali chanzo chake
Hakikisha tu ni safi na salama
 
Nyumbani kwetu maji ni ya bomba kisha wanayachemsha. Nikawa mbali almost 2yrs+, siku nimeenda yakanishinda kabisa kunywa.. nikatafuta ya chupa niliyozoea

Kaskazini maji mazuri ni Kilimanjaro, Dew drop, Jibu & Shafii water.
baada yakuwa wa mjini ukakataa maji ya asili yako! yapo na yale yaliyochemshiwa kuni yananukia moshi...πŸ˜…
humu duniani kasheshe ni nyingi..
 
Chem chem kwa Dar tunaipata wapi
 
inawapasa kuanza kubadili gradually
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…