Mazoea hujenga tabia π€£baada yakuwa wa mjini ukakataa maji ya asili yako! yapo na yale yaliyochemshiwa kuni yananukia moshi...π
humu duniani kasheshe ni nyingi..
Hizo nutrients tutazipata kwenye vyanzo vingineUsalama wake ni upi huo?
Maji ambayo hayana nutrients bado tuyaite salama
Inategemeana na unaishi wapi!! Ukae Tandale halafu unywe maji ya Chem Chem!! Kila siku utakuwa mgeni wa typhoid.
sasa hata chakula kilichopikwa kwa sufuria ni hatari sana,.. Maana sufuria kila siku inakwanguliwa na steelwire,.. bado chakula hichohicho kinapakuliwa na kuwekwa kwenye bakuli na sahani za plastics.Maji yakishachemshwa ni hatari kwa afya pia.
Usipochemsha unakutana na bacterias
Ukichemsha unakutana na chemicals. (madini yaliyo kwenye chuma zilizotengeneza sufuria.)
Hapo sawa.S
sasa hata chakula kilichopikwa kwa sufuria ni hatari sana,.. Maana sufuria kila siku inakwanguliwa na steelwire,.. bado chakula hichohicho kinapakuliwa na kuwekwa kwenye bakuli na sahani za plastics.
Kila kitu kina ubaya wake, tunaangalia tu namna ya kupunguza ubaya wake.
Hata SEQUA nayo ni mazuri sanaNyumbani kwetu maji ni ya bomba kisha wanayachemsha. Nikawa mbali almost 2yrs+, siku nimeenda yakanishinda kabisa kunywa.. nikatafuta ya chupa niliyozoea
Kaskazini maji mazuri ni Kilimanjaro, Dew drop, Jibu & Shafii water.
Sequa siyafahamu.Hata SEQUA nayo ni mazuri sana
Chanzo cha maji yote Kaskazini ni mito mikubwa na chemichemi kitu kinachoyafanya yawe na ladha asili pamoja na kuwa huwekwa chemical kuyahifadhi.
Sio ya mvua???ππ
Ya mvua kutakatisha tu kitu ni kwa mbinde...Sio ya mvua???ππ
Chemsha Maji ya Kunywa vizuri, yachuje na kuyapooza, hayo ni maji sio tu Bora, bali pia safi na salama Zaidi kwa afya yako binafsi na familia yako kwa ujumla π1. Maji ya mvua
Kuna watalaam wanasema sio salama kwakuwa yana chemicalza huko angani
Kuna wengine wanasema ndo salama kwakuwa ni asilia, yamejichuja na yapo salama
2. Maji ya dukani
Haya ambayo yapo kwenye machupa
Mfano hill water, jambo, afya n.k
Kuna watalaam wanasema sio salama kwa kuwa yameongezea chemicals za kuyasafisha yawe meupe yani ule weupe sio asilia na yana madhara
3 maji ya bomba
Wengine wanasema ni maji mazuri tuyaamini kwakuwa yana madini yanatoka kwenye mwamba japo yana rangi mbaya ambayo binafsi siyaamini.
Na process yote hadi yafike kwa mteja yanakuwa yamewekewa madawa
Wataalam naomba mnisaidie niwe nakunywa maji gani yenye virutubisho vya mwili