Kuna chombo ambacho kazi yake ni kukagua hotels na baada ya kuona ubora inatoa madaraja ndio maana kuna hoteli ambazo ni five stars...three stars etc...vilevile kuna chombo katika airlines ambacho kinaitwa SKYTRAX kazi yake ni kukagua airlines zote na kuvipa madaraja daraja la juu ni 5stars na mashirika ya ndege yaliyo kwenye hili daraja ni qatar..singapore..malaysia..cathay..asiana..hainan na ana airlines..hii ni kwa mujibu wa skytrax wanaangalia ubora wa service kuanzia kwenye airport zao na ndani ya ndege zao.... kwa mwaka huu tuzo ya the best airline ilikwenda kwa qatar...ili ni shirika kubwa lenye ndege nyingi sana linaanza safari zake tokea doha ambao ndio mji mkuu wa qatar,uwanja wao wa ndege ni mkubwa na mzuri sana na wanakwenda zaidi ya miji 70 kila siku....lakini kwangu mimi emirates nawezasema ndio bora lina ndege nzuri za kisasa linakwenda katika miji 130 kila siku!!!,limeajiri zaidi ya cabincrew 16,000/wote wanaishi dubai kwenye mazingira mazuri sana mshahara wa chini kwa cabincrew ni $1000 na kila unapokuwa angani unalipwa $20 kwa saa yaani ukipata safari ya kwenda dar kwa mfano ni masaa 7 utalipwa masaa 14(go and return)na utalala kwenye 5star hotel ili kusubiri safari ya kurudi,na kwa trip ya dubai to new york ni masaa 13 hivyo utalipwa 26hours ×$20 ndio maana huwezisikia staff wa emirates wamegoma ila unasikia british airways staff wanagoma...lakini katika skytrax emirates airlines ni la 8