Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
MAPENZI YANAUA
- Size ya mashine haijalishi, namna huyo mwenye mashine anavyoitumia ndiyo kinacholeta raha au karaha.
- Huna hela, huna kazi - achana na mapenzi focus na mambo mengine.
- Kupendwa ni bora kuliko kupenda, ikitokea scale imeelemea kwako utafurahia na roho yako.
- Kutofanya maamuzi nikiwa nimekolewa na utamu / mapenzi - hasa baada ya kumaliza kuchakatwa
Njoo uongeze na za kwako.
Kweli kabisa, yakikushinda, fanya mambo mengine.Nilicho jifunza ni kuwa, YAKI KUSHINDA MAPENZI, JARIBU NA KILIMO.
Kumpuuzia tena, siyo kumuonyesha huo upendo wako?Dawa ya mwanamke unayempenda ni kumpuuzia tu.
Well said 💯Kama unaweza kuishi bila mpenzi na ukawa na furaha basi ni Bora kuishi hivyo
Maumivu ya mapenzi hayana dawa hospital
Hebu tupe somo hapo, huwa unawaingiliaje hawachomoki?Nimejifunza mwanamke yoyote anaingilika na ni dhaifu kwenye mapenzi hata kama ana status kubwa kwenye jamii.
Kweli kabisa 💯MAPENZI YANAUA
Namlaumu Maxence Melo
- Size ya mashine haijalishi, namna huyo mwenye mashine anavyoitumia ndiyo kinacholeta raha au karaha.
- Huna hela, huna kazi - achana na mapenzi focus na mambo mengine.
- Kupendwa ni bora kuliko kupenda, ikitokea scale imeelemea kwako utafurahia na roho yako.
- Kutengeneza mahusiano mazuri na ndugu wa mume (pausa kichwa sana).
- Kutofanya maamuzi nikiwa nimekolewa na utamu / mapenzi - hasa baada ya kumaliza kuchakatwa
Njoo uongeze na za kwako.
Hapana buana, acha tuhangaike nayo tu!Mapenzi yafutwe tu.....
Okay basi njoo......Hapana buana, acha tuhangaike nayo tu!