Yapi umejifunza ukubwani kuhusu mapenzi na mahusiano?

Toka lini mpwa ukafanya ngono ili kuzalisha? au umekua raha hutaki tena?
 
Toka lini mpwa ukafanya ngono ili kuzalisha? au umekua raha hutaki tena?
Niliamua kusitisha zoezi la kumwaga mbegu zangu hovyo, baada ya bidada mmoja kusema nimpe kitita cha elfu20 ili nilale nae, nikamwambia mbona wewe hunipi elfu20 au raha unajipa mwenyewe, akasema me mkorofi.

Kwasasa kama si kupewa kimasihara/kwa lengo la kuzaa basi sifanyi ngono.
 
Nilichojifunza wanawake wengi waajiriwa wakishapata watoto hawapendi kuwa na waume zao na mapenzi ndani huisha kabisa na kuishi kwa mazoea.
Ukweli mchungu, huwa inahitaji jitihada za ziada kurudisha penzi mkishazoeana na kuwa na watoto. Late 30's to early 40's kipindi kigumu sana cha ndoa nyingi!
 
Relax,usitumie nguvu sana kwa mahusiano...ni Bora ukawa Solomon ukaishia kusema kilakitu ni ubatili tu lakini wakati umeshaenjoy sana...usijitese,usijibane...ukinyegeka fanya mapenzi na yeyote isipokuwa mwenye ugonjwa usioupenda na kama unampenda yeye na ugonjwa wake fanya naye...
Ila kama unaweza,ishi kama alivyoshauri Paulo...usifanye kabisa...

Dunia hii hata ujibane vipi kufa kupo palepale.
 
Mpwa 20,000 siyo kitita ila nimekuelewa. Mapenzi ya pesa yafutwe kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…