Yapi umejifunza ukubwani kuhusu mapenzi na mahusiano?

✓Kukabiliana na maumivu
Tangu nipewe kibuti na Bibi yenu wa kwanza mwaka 47, nikajifunza kuhusu maumivu ya Mapenzi.

Kupitia maumivu hayo, mtu hukua, hujifunza kuvumilia huzuni, na kuelewa thamani ya uponyaji wa kihisia.
100%
Maumivu ni sehemu ya mahusiano ambayo wengi tunatamani isingekuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…