maskini huyo, asaidiwe. Anahitaji rehab centre kama lile la chiromo, naisahau jina.......
Ndiyo maana hata miraa haiwezi kuruhusiwa Tanzania manake '' recreational drugs'' za aina zote hazifai kabisa.Running away from substance abuse is a treacherous journey. Takes a lot of will power, lots of prayers and support from family and friends to win against this suicidal habit.
I can attest to that, since I personally fought off alcoholism and won.
Asee uliwezaje kuishinda nguvu ya alcohol?? Hii vita ya hii makitu ni ngumu sana asee.... dahRunning away from substance abuse is a treacherous journey. Takes a lot of will power, lots of prayers and support from family and friends to win against this suicidal habit.
I can attest to that, since I personally fought off alcoholism and won.
Asee uliwezaje kuishinda nguvu ya alcohol?? Hii vita ya hii makitu ni ngumu sana asee.... dah
Tatizo kwa Gwajima sichelewi kupata pepo jingine.... Kuna vibinti vinaendaga pale wacha kabisa....Hamia kwa gwajima, miujiza ipo babu. Mie toka nihamie kwa gwajima nimeshindwa vita vya konyagi, burger na chipsi
Watu kama nyie ndio mnaipotosha jamii na propaganda zenuu zakuwaombea wenzenu mabayaDada yetu hawez kupona.Ata Chid Benz atarudia tu dawa.
Running away from substance abuse is a treacherous journey. Takes a lot of will power, lots of prayers and support from family and friends to win against this suicidal habit.
I can attest to that, since I personally fought off alcoholism and won.
kwasababu gani itakuwa ngumu kwao kuponaDada yetu hawez kupona.Ata Chid Benz atarudia tu dawa.
Oh, I used to think Sia is just trying to find a signature look. I love her songs..last week nilikua nawatch video youtube ya mwimbanji kutoka marekani anayeitwa "Sia" on why she never shows her face..... na jibu lake alisema fame ilifanya atumie drugs baada ya kutoka rehab aligundua fame ya kujulikana ndo ilichangia so akaamua kutoonyesha sura yake kwa nyimbo yoyote.... watu sasa hawajui sura yake, anaeza enda popote bila kijulikana yr ni nani...
rayc anafaa kutafuta chanzo cha kurumia madawa alafu ajiepushe.... kama ni fame ndo inamfanya awe na stress hadi kutaka kujiua basi awache kusoma watu wanamuongelea nini mtandaoni...ajishughulishe na maisha yake hadi ule wakati atakua confident tena
Nimezungumza ukweli.Madawa ya kulevya yana addiction sana.Suala la Ray C liwe fundisho kwa vijana wenzetu.Watu kama nyie ndio mnaipotosha jamii na propaganda zenuu zakuwaombea wenzenu mabaya
Asee uliwezaje kuishinda nguvu ya alcohol?? Hii vita ya hii makitu ni ngumu sana asee.... dah
Nikifanikiwa kuacha hayo makitu nadhani ndo utakuwa mwanzo wa utajiri wangu...Pombe niliacha kwa kuhakiikisha sionji hata kidogo, maana hapo mwanzo nilikua najidanganya kwamba nitajaribu social drinking, eti nitakunywa chupa mbili tu basi, lakini baadaye najikuta baa yote imekua yangu kwa jinsi navyoagiza machupa ya mizinga.
Dawa ni kuamua kabisa sionji, na kumwomba Mungu anipe nguvu kila siku dhidi ya hicho kitu. Halafu pia mji wa Dar ni rahisi sana kwa mtu kutumbukia kwenye hayo makitu, haswa kwa mgeni wa kutokea nje kama mimi. Maana mji wenyewe japo ni wa kibiashara, lakini unakaa kiraha raha sana, bahari, madada wa waswahili, viduku usiku n.k. Kigamboni pale ndio usipime.
Ukienda pale Cocoa beach halafu mfukoni una kama milioni ya Kibongo, asubuhi utajikuta na chenji za buku buku halafu kichwa kinauma kishenzi, mikono inatetemeka na huku umesubiriwa kwenye kikao cha kufa mtu maana wewe ndiye umeandaa presentation fulani inayosubiriwa. Hayo maisha niliaishi na siwezi kuyarudia hata kwa shuruti ya risasi.
Pombe ukitaka kuacha unaacha tu, halina ubishi hapo. Piga moyo konde, mwombe Mungu na ukipe kisogo hicho kitu. Niliweza na nimeweza, mimi ni zaidi ya mshindi. Hicho kitu ni hasara mtupu, mikoa yote ya Bongo na Kenya nimekatiza kwenye miradi huku nikinywa pombe kama wazimu.Nikifanikiwa kuacha hayo makitu nadhani ndo utakuwa mwanzo wa utajiri wangu...