Yapi yanakukera ndani ya JF

Yapi yanakukera ndani ya JF

dirtyboy

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2017
Posts
380
Reaction score
669
Moja ya vitu nisivyo vipenda na vinavyokera kwa baadhi ya member humu JF, nikuquote uzi mrefu hadi mtu unaingiwa na uvivu wakupitia comment..sasa sijui ni ushamba au nini

shusha mambo yanayo kukera humu JF ili wanaofanya ivo wajirekebishe
 
Hakuna kinachonikera mimi humu JF sabu hatujuani na IDs zetu feki, afu umu ndio pa kumalizia stress zote za maisha .....
 
Kinachonikera humu jf ni pale mtu anapotoa uzi unaohusiana na mambo ya kwichi kwichi afu inatokea comment weka picha.
 
Kiwango cha ujinga cha mashabiki wa chadema...yaani mi mkombozi akiwa mjinga nasikitika sana
 
Back
Top Bottom