[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Moja ya vitu vinavyonikera humu JF ni mtu kurudia rudia post iliyopostiwa na kujadiliwa zamani kama hii
Nimekuja mbio nimjibu kama wewe mkuu.Moja ya vitu vinavyonikera humu JF ni mtu kurudia rudia post iliyopostiwa na kujadiliwa zamani kama hii
Kaka hujamaliza kusemaaa sema yooooteMoja ya vitu vinavyonikera humu JF ni mtu kurudia rudia post iliyopostiwa na kujadiliwa zamani kama hii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Unaamka asbh pm hamna msg
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
hahahah[emoji3][emoji3]Mie kinachonikera pale members wa humu wanavyomsakama mtani wangu Joseverest eti anakuwa wa kwanza ku reply kwani ni kosa! halafu mtu akiwahi siti anasema "nimewahi seat ya Joseverest. hahahahhaaahahahha
Nani alikudanganya kwamba humu hatujuwani?Hakuna kinachonikera mimi humu JF sabu hatujuani na IDs zetu feki, afu umu ndio pa kumalizia stress zote za maisha .....
Kwahiyo unamjua uliyemquote?Nani alikudanganya kwamba humu hatujuwani?
Sasa ningefanyajeUnanicheka [emoji20]
HahaahalaaaaWatu kuone wengine mashetani na kumfuata pm kumuhubiria