Yapi yanakukera ndani ya JF

mimi kinachonikera humu JF ni member kutumia maneno haya,
vepee
jomon
tyu
kwendraaa

ongeza na mengine.
 
Naichukia sana JF baada ya kuona uwezo/kiwango cha watu mahiri katika kutoa mada (chakula ya Ubongo) kupungua kama si kupotea kabisa...!

Tumebaki na Jembe moja tu Mshana Jr...
 
Mie kinachonikera pale members wa humu wanavyomsakama mtani wangu Joseverest eti anakuwa wa kwanza ku reply kwani ni kosa! halafu mtu akiwahi siti anasema "nimewahi seat ya Joseverest. hahahahhaaahahahha
Yaaani acha tu mtani, wanakera balaa...akifika hapo anasema ngoja niwahi seat [emoji23] [emoji23] [emoji23] utadhani ni mashindano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…