Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Ipo clip inaonyesha Dp world foundations imeanza kutoa misaada mbalimbali ya Ujenzi wa misikiti awamu kwa awamu,ikumbukwe hawa ndugu zetu al maarab wanafedha kweli kweli,huu ni mtazamo wangu binafsi Dp world haikupaswa kuja Tanzania na kuanza kupromote suala la Ujenzi wa misikiti, hapo ndipo walipojiharibia taasisi kama hii ilipaswa iusome mfumo wa Tanzania kwanza,na isijiusishe na masuala ya kidini kabisa Bali isaidie kwenye mashule mahospitalini na vitu Vya aina hiyo, kwa mtazamo wangu, maaskofu hawa pia hofu yao kubwa huenda ni Islamazation kuenea kwa kasi ya ajabu Tanzania kwa mtindo waliokuja nao,na kuhatarisha ukubwa wa Ukristo Tanzania.
Alhamduh Lilah!
Alhamduh Lilah!