Wanajf, nawasalimia nyote kwa upendo wa hali ya juu.
Ninaulizia, ni maduka gani ya hardware ambayo yana utaratibu wa kukopesha vifaa vya ujenzi kama vile mabati, sementi, gypsum, nondo, tiles na vifaa vya plumbing?
Yaani, mnaingia mkataba na ofisi inakudhamini then unakopeshwa vifaa unavyohitaji na baada ya muda unaanza kulipa kwa instalment mliyokubaliana.
Maduka haya yanawafaa sana wale waislamu na wakristo na wengine ambao hawapendi riba ila wanapata faida.
Mwenye kufahamu, tafadhali tupia mawasiliano yake na mahali ofisi ilipo