Yapo wapi maduka ya hardware yanayokopesha vifaa?

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
237
Wanajf, nawasalimia nyote kwa upendo wa hali ya juu.

Ninaulizia, ni maduka gani ya hardware ambayo yana utaratibu wa kukopesha vifaa vya ujenzi kama vile mabati, sementi, gypsum, nondo, tiles na vifaa vya plumbing?

Yaani, mnaingia mkataba na ofisi inakudhamini then unakopeshwa vifaa unavyohitaji na baada ya muda unaanza kulipa kwa instalment mliyokubaliana.

Maduka haya yanawafaa sana wale waislamu na wakristo na wengine ambao hawapendi riba ila wanapata faida.

Mwenye kufahamu, tafadhali tupia mawasiliano yake na mahali ofisi ilipo
 
Tunakopesha nowadays wanatoa hela si vifaa tena
 

Maana ya mkopo ni lazima ulipe kwa riba.
Kama hutaki hivyo basi kopa benki cash then ukanunue huko kwenye maduka.
Au kama unataka watakupandishia bei ya vifaa unavyotaka.
 
Maana ya mkopo ni lazima ulipe kwa riba.
Kama hutaki hivyo basi kopa benki cash then ukanunue huko kwenye maduka.
Au kama unataka watakupandishia bei ya vifaa unavyotaka.

Yah.. Mi hata wakiniuzia kwa bei kubwa sawa tu. Maana ni biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…