Yapo wapi mapenzi ?

Yapo wapi mapenzi ?

johnmoney

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
50
Reaction score
1
Nani hakubali kama wazee/mabau/mabibi zetu walikuwa waukweli?
Yapo wapi mapenzi kuanzia Miaka ya 1985...!!![/I][/I][/I][/B][/I]
 
Nani hakubali kama wazee/mabau/mabibi zetu walikuwa waukweli?
Yapo wapi mapenzi kuanzia Miaka ya 1985...!!![/I][/I][/I][/B][/I]
Mapenzi yalikuwepo,yapo na yataendelea kuwepo daima,......na hayo ni maisha
 
Bado unaelea elea mkuu! fafanua kuna nini? Au kuna jambo gani au kuna kitu bado hujakisema ili nawengine tuchangie kwa ufasaha.
 
Inaelekea hujawahi kupendwa wewe mbona mapenzi yapo na yataendelea kuwepo :A S-baby::A S-baby::A S-baby:
kumbuka anaekupenda ni mmoja na wanaokutamani ni wengi :evil::evil::evil:
 
Back
Top Bottom