J johnmoney Member Joined Nov 2, 2010 Posts 50 Reaction score 1 May 3, 2011 #1 Nani hakubali kama wazee/mabau/mabibi zetu walikuwa waukweli? Yapo wapi mapenzi kuanzia Miaka ya 1985...!!![/I][/I][/I][/B][/I]
Nani hakubali kama wazee/mabau/mabibi zetu walikuwa waukweli? Yapo wapi mapenzi kuanzia Miaka ya 1985...!!![/I][/I][/I][/B][/I]
IGWE JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,578 Reaction score 7,774 May 3, 2011 #2 johnmoney said: Nani hakubali kama wazee/mabau/mabibi zetu walikuwa waukweli? Yapo wapi mapenzi kuanzia Miaka ya 1985...!!![/I][/I][/I][/B][/I] Click to expand... Mapenzi yalikuwepo,yapo na yataendelea kuwepo daima,......na hayo ni maisha
johnmoney said: Nani hakubali kama wazee/mabau/mabibi zetu walikuwa waukweli? Yapo wapi mapenzi kuanzia Miaka ya 1985...!!![/I][/I][/I][/B][/I] Click to expand... Mapenzi yalikuwepo,yapo na yataendelea kuwepo daima,......na hayo ni maisha
RedDevil JF-Expert Member Joined Apr 30, 2009 Posts 2,367 Reaction score 1,523 May 3, 2011 #3 Bado unaelea elea mkuu! fafanua kuna nini? Au kuna jambo gani au kuna kitu bado hujakisema ili nawengine tuchangie kwa ufasaha.
Bado unaelea elea mkuu! fafanua kuna nini? Au kuna jambo gani au kuna kitu bado hujakisema ili nawengine tuchangie kwa ufasaha.
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,803 Reaction score 1,601 May 3, 2011 #4 Inaelekea hujawahi kupendwa wewe mbona mapenzi yapo na yataendelea kuwepo :A S-baby::A S-baby::A S-baby: kumbuka anaekupenda ni mmoja na wanaokutamani ni wengi :evil::evil::evil:
Inaelekea hujawahi kupendwa wewe mbona mapenzi yapo na yataendelea kuwepo :A S-baby::A S-baby::A S-baby: kumbuka anaekupenda ni mmoja na wanaokutamani ni wengi :evil::evil::evil: