deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 932
- 506
Msaada wakuu, naomba kuelekezwa yard ambayo nitapata huduma kwa uaminifu, gari ninayohitaji isitoke nje ya spacio new model, runx, carina au raum. Sio wale jamaa ambao wanauza zinashatembea bongo, msaada tafadhari, kifupi iwe iliyotumika Japan.