Political Engineer2
Senior Member
- Feb 23, 2018
- 149
- 117
Siku hizi ni miezi 2+ na uvumilivu huo sinaBora uagize usubilie mwezi tu gari yako inakua mkononi
Hiyo iko wapi mkuu kesho nimtembeleeHiyo miezi sio mingi mkuu maana unapata kitu cha uhakika.
Lakini hata dar kuna yard ya mbunge gani jina limenitoka naskia yard yake ni waaminifu sana
Hapo ndipo shida ilipo MTU anauza kitu kipya lakini inakulazimu kwenda na fundi kana kwamba unamvua MTU mikononiTafuta mtaalamu wa magari,nenda yard yoyote utapata kitu unachokiitaji;hata kama kitu ni kipya vipi ukaguzi ni muhimu kabla ya kukinunua.
Tanzania bado tunakumbwa na tatizo la uaminifu katika magari. Mtu anaagiza magari ya kuuzwa lakini anaanza kuyachezea Mara atoe radio Mara abadilishe engine nk.
Naomba kama mwenye kujua ninapoweza kupata IST ya kwenye Yard ya magari ambao ni waaminifu.
Tafadhali nipe uelekeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app