Yas sijawahi ikubali hata kidogo tangu inaitwa tigo. Ila nadhani nitaikubali tu, maana saivi nipo kijijini. Huku mtandao ni yas tu. Na wana mnara.yas kila ifikapo saa 6 usiku wananituna sms ya "hauwezi kutumia huduma hii plus maneno kibao kibao sijui kwanini wanafanyaga hivyo na,hapo unakuta nimetulia zangu sifanyi huduma yoyote
Sidhani kama wanafunga huduma. Ila huwa wanazuia kuingiza vocha kwa muda. Sijui kama mitandao yote. Ila nishawahi fanyiwa hivo na mtandao fulani.Yas matrako yenu nimenunua vocha za 5000 niunge bando ile namaliza kuingiza niunge bando naambiwa sina salio la kutosha kuuliza salio wanasema nina 4000
Nikaanza kurudia vocha moja moja lakini wapi nimewapigia wanaongea ungese mwingi mwingi wanadhani hela tunaziokota
Naomba mwanasheria mzuri nifungue kesi ya kuyotezewa salio na muda wangu inbox
mi siikubali sana hiyo laini niliisajili kwa ajili ya ki router tu ila naona hata vifurushi vyao havidumu kabisa,,Yas sijawahi ikubali hata kidogo tangu inaitwa tigo. Ila nadhani nitaikubali tu, maana saivi nipo kijijini. Huku mtandao ni yas tu. Na wana mnara.
mi heka heka siwezi as long hizo sms hazini haribii Simu wacha watume siku wakichoka wataachaKuwashataki hawa wajinga walipe mabillion
Pole sana mkuu, makampuni mengi ya kibongo bado wana fanya mambo mengi wa uhuni na wanatakiwa wajirekebishe kwa mfano: -
1. Kuna kiasi cha salio kikibaki kwenye sim mathalan bm azifanyi kazi.
2. Unapo bakiza salio na siku mfano 7 zimepita, wanaoitanayo
3. Wakiwa na matatizo ya mtandao na salio lako lipo kule, siku ya kuisha wanakata na hawalipi fidia
Yamefunga ukipiga simu yanablock ukityuma sms yanablock ukiingia net yameblock ******* sanaSidhani kama wanafunga huduma. Ila huwa wanazuia kuingiza vocha kwa muda. Sijui kama mitandao yote. Ila nishawahi fanyiwa hivo na mtandao fulani.
"Wanazuia kuingiza
vocha, kisha baada ya
muda wanaruhusu"
Oya! Wamefungua?Yamefunga ukipiga simu yanablock ukityuma sms yanablock ukiingia net yameblock ******* sana
Namba ya PM nikusaidie bidada hutojutia 🤸♀️yas kila ifikapo saa 6 usiku wananituna sms ya "hauwezi kutumia huduma hii plus maneno kibao kibao sijui kwanini wanafanyaga hivyo na,hapo unakuta nimetulia zangu sifanyi huduma yoyote