YAS nadhani wamepanga kutuibia hela nyingi kuliko TIGO

YAS nadhani wamepanga kutuibia hela nyingi kuliko TIGO

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Nilikuwa nimekopa hela hapa YAS,kuzilipa imekuwa kisanga matata.
Kila nikipeleka hela,naambiwa mkopo bado.
Hapa nadhani nimedhulumiwa sh. 2000
 
Back
Top Bottom