Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Nov 30, 2024 #1 Nilikuwa nimekopa hela hapa YAS,kuzilipa imekuwa kisanga matata. Kila nikipeleka hela,naambiwa mkopo bado. Hapa nadhani nimedhulumiwa sh. 2000
Nilikuwa nimekopa hela hapa YAS,kuzilipa imekuwa kisanga matata. Kila nikipeleka hela,naambiwa mkopo bado. Hapa nadhani nimedhulumiwa sh. 2000