A
Anonymous
Guest
Leo hii naandika haya ni tarehe 20 takriban siku saba sasa kila unapowasiliana nao wanakuambia suala lako tunalishughulkia, ndani ya saa 24 usipowatafuta tena ndo inakuwa imeisha hiyo. Ukiwatafuta kesho wanarudia kauli Ile ile. Mwisho nikawaambia kama wameshindwa wanipe pesa yangu online support akatoka online 😆 nasijui hata nifanyeje