Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 150
Mkuu I can feel your pain. Mwenyewe unamuamini wife kumbe wenzio wanakumegea tu......Mimi kuna mmoja alikuwa ananiambia yaani nikikuona tu mwili wote unawasha halafu una mb** nzuri. Yaani ni full usanii. LOLnyie kuleni wake za watu lakini jua na wako na yeye ataliwa au analiwa sasa hivi unaposoma haya fikiria kwanza
jana alikuaga anaenda wapi?
Mkuu hapo kwenye red nimekutana nayo sana, halafu eti unakuta mtoto anakwambia ushaikuza bure nanihii yangu sijui nitamwambia nini mume wangu. (Wizi mtupu)Ukishamaliza anakuambia " we mbaya yaani naenda mlisha mume wangu makombo yako nyok*" wakati huo mzee mwepesiiii hata husikii anachokwambia teh teh teh
wuhidzi ng`ani
"Tena leo ndio mwisho, usitafute na mimi sikutafuti"- Hii inatokea wakati anavaa nguo ili arudi kwa mumewe
Wakati unakula mke wa mtu utasikia anakuambia. Hivi unajua mimi sijazoea kabisa mambo haya. Hivi kweli unanifanya namsaliti mume wangu!!!
Kama hujazoea si uache????
huku kigamboni pazuri mr hajawahi kunileta hotel nzuri namna hii!namuuliza hivi mr akitaka nae usiku utampa?mhh nitasema naumwa najisikia vibaya
Siku ya kwanza mnapomaliza: 'jamani haya mambo mi mwenzio sijawahi yani tangu nimeolewa ni yeye tu! Leo chinga ataniua wallahi mwanaume mbaya wewe!' au anaweza kusema 'hakyanani leo ndio nimebikiriwa nlikuwa bado' (ana watoto 2).
Siku ya marudio: 'Jamani we haya mambo umeyajulia wapi mbona mwenzio hajui lolote?'
Siku zinazofuata anakuwa anamtukana mumewe kila mizuka inapompanda kunako tendo "Jamani we ndio mwanaume! Nanihii **** kabisa tena ms*ng*!"
... na mwanaume anayemzini mke wa mtu kumbe naye kaoa. Naye kwenye majambo atamwambia mzinzi mwenzake " wewe mtundu, yaani una nijulia wewe"
Wakati unakula mke wa mtu utasikia anakuambia. Hivi unajua mimi sijazoea kabisa mambo haya. Hivi kweli unanifanya namsaliti mume wangu!!!
Kama hujazoea si uache????