fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 354
- 52
kwa kweli masistaduu siwaelewi.Jana kaniambia ana hamu sana ya kuku,nami kwa heshima,japo nabana matumizi nilimpeka kwa hoteli.Sijui ni uoga,ama kushiba ama ugeti kali??,sistaduu alionja paja tu na kuku mzima kamuacha.hivi ningebeba sehemu ilobakii ama vipi??

Pengine alitaka kujua jamaa atafanyeje baada ya kumwacha kuku yule karibu mzima. Pengine alitaka kuoneshwa upendo zaidi kwa kubebewa mlo na jamaa. Kina dada wanawaza kivyao tu na wanatenda kivyao. Anapokuambia "no" ndo anakuambia "yes". Makubwa!Nini kilisababisha ashindwe kula huko hotelini?