Yasikukute haya: Utajuta

Yasikukute haya: Utajuta

Benno

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2009
Posts
332
Reaction score
51
Nipo Tumaini Hosp. Ndugu yangu amelazwa, Alianza kutumia ARV AUGUST 2010, akiwa na CD4- 219. April 6. 2010 akapima CD4 ikapanda mpaka 1000. Akaenda Kwa BABU LOLIONDO tar 11 april 2011. Baada ya kupata kikombe aliacha kutumia dawa kwa siri. Sasa Hali ni mbaya. Angalizo kuweni makini.
 
Wa TZ wabishi sana babu mwenyewe anasisitiza dawa za hospt watu waendelee kutumia angalia sasa watu wanavyo pukutika kwa uzembe
 
Kama alikwema bila Imani ni kazi bure. Na bila shaka ni kati ya hao wasio na Imani. Atashanga na roho yake!
 
imani inaponya mkuu huu ukimwi ni hatari sana mimi nina mama yangu mdogo kabisa kanywa kikombe na anavyo nw anadendelea vizuri sana tu
 
jamani imani nayo ni mtihani si masihara!

wako walopona na wako wasiopona kama huyo

tuliambiwa kama twaweza kuwa na imani ndogo tu kama punje ya haradali hata milima tutaweza kuihamisha!

Tumwombe mwenyezi Mungu atujalie imani!
 
Wa TZ wabishi sana babu mwenyewe anasisitiza dawa za hospt watu waendelee kutumia angalia sasa watu wanavyo pukutika kwa uzembe

Fidel80
I dont think ni uzembe neccessarily, it could be that pple are confusing exactly what hiyo imani wanayotakiwa kuwa nayo entails. So they think kuacha kunywa dawa ni proof ya kuamini !!!!?

Benno:
Pole kwa kuuguza, hopefully mgonjwa wenu will get well soon!
 
Pole kwa kuuguliwa. ni kitu cha kuhuzunisha sana. tujifunze kutoka kwako na kama babu mwenyewe alivyoshauri kuendelea na aina ya matibabu tuliyokuwa nayo kabla. na hii haimaanishi kuwa huna imani na dawa ya babu. tafadhari tuwaeleze na wengineo. Pole sana Benno
 
nilisikia hadi kufika mwezi 5 babu atasitisha dawa....kullikoni?
 
Kama alikwema bila Imani ni kazi bure. Na bila shaka ni kati ya hao wasio na Imani. Atashanga na roho yake!

Wewe acha hizo nina rafiki 2 jirani 4 wote kabla ya kwenda kwa huyo "BABU YENU"walikuwa wakitumia dawa na hali zao zilikuwa nzuri sana. Lakini toka walipotumia huo MKOMBE ni WAKUFA WAKATI WOWOTE! WATZ KUWENI MAKINI NA USANII HUU WA DAWA AMBAYO HAIJATHIBITISHWA.
 
Fidel80
I dont think ni uzembe neccessarily, it could be that pple are confusing exactly what hiyo imani wanayotakiwa kuwa nayo entails. So they think kuacha kunywa dawa ni proof ya kuamini !!!!?

Benno:
Pole kwa kuuguza, hopefully mgonjwa wenu will get well soon!

Ahsante
 
WAKUBWA MTUSAIDIE HALI YA WAGONJWA INAZIDI KUWA MBAYA. Walitaka watu wajitokeze kupima afya zao mbona hamna Muongozo. Mtu kama ameacha kutumia dawa akiamini amepona then unamwambia hana Imani. Nashauri Babu asimamishe tiba. Tumepata hasara kubwa na bila mafanikio
 
Back
Top Bottom