Nipo Tumaini Hosp. Ndugu yangu amelazwa, Alianza kutumia ARV AUGUST 2010, akiwa na CD4- 219. April 6. 2010 akapima CD4 ikapanda mpaka 1000. Akaenda Kwa BABU LOLIONDO tar 11 april 2011. Baada ya kupata kikombe aliacha kutumia dawa kwa siri. Sasa Hali ni mbaya. Angalizo kuweni makini.
Wa TZ wabishi sana babu mwenyewe anasisitiza dawa za hospt watu waendelee kutumia angalia sasa watu wanavyo pukutika kwa uzembe
Kama alikwema bila Imani ni kazi bure. Na bila shaka ni kati ya hao wasio na Imani. Atashanga na roho yake!
Fidel80
I dont think ni uzembe neccessarily, it could be that pple are confusing exactly what hiyo imani wanayotakiwa kuwa nayo entails. So they think kuacha kunywa dawa ni proof ya kuamini !!!!?
Benno:
Pole kwa kuuguza, hopefully mgonjwa wenu will get well soon!