Heeeeeeh ila ni kweli yas ni wababaishaji sanaNimefanya malipo ya kufungiwa fiber nyumbani kwangu tangu jmos kupitia Yass. Nikajulishwa kuwa itafungwa ndani ya saa 72 tangu nifanye malipo. Jana jioni ikiwa ndo siku ya 3 nikawatafuta wakasema inafungwa siku za kazi tu na jambo hilo linafanyika ndani ya siku 3 -5 za kazi. Nimewaambia warudhishe pesa zangu niweke mtandao mwngine mbona huwa wanafunga papo kwa papo. Nimekoma na kiherehere changu. Yass if you're reading this rudisheni pesa zangu sitaki tena huduma yenu.
Yass hata ukipiga *148*00# ni lazima ufanye mara mbili vinginevyo hela inageuzwa vocha ya kawaida ....Nimefanya malipo ya kufungiwa fiber nyumbani kwangu tangu jmos kupitia Yass. Nikajulishwa kuwa itafungwa ndani ya saa 72 tangu nifanye malipo. Jana jioni ikiwa ndo siku ya 3 nikawatafuta wakasema inafungwa siku za kazi tu na jambo hilo linafanyika ndani ya siku 3 -5 za kazi. Nimewaambia warudhishe pesa zangu niweke mtandao mwngine mbona huwa wanafunga papo kwa papo. Nimekoma na kiherehere changu. Yass if you're reading this rudisheni pesa zangu sitaki tena huduma yenu.
hii Mixx By YAS inamilikiwa na FISADI PAPA - ROSTAM!Heeeeeeh ila ni kweli yas ni wababaishaji sana