dir good beatus
Member
- Jun 26, 2015
- 55
- 62
IMESANIFIWA NAMI NDUGU YAKO GOOD BEATUS KALIPUKA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KUMEFANYAJE HUKOKonnichiwa Kumamoto.
Sore wa ī hanashida
Anata wa chitsudesu ka?KUMEFANYAJE HUKO
eh! sijui walimpokeajeUnaambiwa baada ya kuondoka Japan alirudi ureno.
henshin wa teishi suruAnata wa chitsudesu ka?
Nan demo īhenshin wa teishi suru
anata ga 1 ban desuNan demo ī
bun ka tte ru.anata ga 1 ban desu
hapanaKumbe hii ndo handle ya Dr isack maro
wavamizi wengi hawakuhitaji kujifunza waliwafosi mjifunze lugha yao.Hii kujua lugha ya mtu mwingine wakati ni mgeni inanichanganya saana. Jamaa alikijuaje kijapan nae ndio mara ya kwamza kufika japan na kipindi hiko elimu si kama sasa.
Wale wamisionari wakaja kwa mara ya kwanza afrika na bado wakaweza kuzungumza na wenyeji(kinyamwezi, kizulu, kihehe n.k)
lete yako iliyokuwa yakweliHii story ya kutunga
part ipi ya kutunga? au yote?Unaambiwa jamaa lilikuwa linarusha panga hatari mpaka mfalme akamfanya mlinzi