Yasuke, Samurai wa kwanza mweusi

Hii kujua lugha ya mtu mwingine wakati ni mgeni inanichanganya saana. Jamaa alikijuaje kijapan nae ndio mara ya kwamza kufika japan na kipindi hiko elimu si kama sasa.

Wale wamisionari wakaja kwa mara ya kwanza afrika na bado wakaweza kuzungumza na wenyeji(kinyamwezi, kizulu, kihehe n.k)
 
wavamizi wengi hawakuhitaji kujifunza waliwafosi mjifunze lugha yao.

lkni baadhi za sehemu wavamizii walitumia njia ya ishara mpaka kufikisha ujumbe, kidogo kidogo mpaka lugha wanaelewa. na hii ndio njia bora kuliko hizi za darasani.

kwenye kesi ya yasuke, alikua kiumbe kingine kabisa. hekima ilimjaaa bwana yule. kumbuka hakua mtumwa alikua kama right hand man wa huyu mmishonari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…