Yataka moyo

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
67,252
Reaction score
168,563
Mfano wewe ni mwanamume Umepanga safari yako ukaenda umefika sasa kesho yake unawasha simu yako asubuhi unakutana na meseji yake inasema kuanzia leo usinijue nisikujue na sihitaji tena kuona namba yako kwenye simu yangu wala meseji...nawewe kwa mshtuko unapiga simu ukimpigia mkeo unamuhuliza vipi kulikon hii meseji umetuma kwa malengo gani? Baada ya kujibu anakata simu halafu kwa unyonge anakutumia ujumbe kwamba nisamehe mme wangu iyo meseji nilikua namtumia mtu mwingne je, kama ni wewe utafanyaje?
Nipe jibu nione ujasiri wako....!!!
 
Hapo natuliza kwanza akili nipate muda wa kumuuliza vizur maana naweza kufanya mambo ya ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…