Yataka moyo...

Utajisikiaje ukiambiwe wewe 'Sikutaki' na 'Toka'

Hata kama nilikuwa bado nampenda na mimi ntampa kubwa vile vile.

Nitamwambia hata mimi sikutaki na nilishakuchoka siku nyingi ndio maana nilishatafuta replacement yako kitambo (hata kama siyo kweli). Na kwa taarifa tu leo nilikuja kukutaarifu kwamba mimi na wewe ndio basi in all level, na kukushauri u move on same as I did. Honestly, umenirahisishia saana cause nilikuwa nakuonea huruma kuwa na wewe, siyo kwamba nilikuwa nakupenda.

The rule is simple: Akikupa kubwa unampa kubwa zaidi.
 
...kumuacha mtu kwa Txt message kunadhihirisha mtu asiyejiamini, ...a coward!... utamu ni uso kwa uso..."Sikutaki!"
Mi naona kumwacha mtu wakati mpo kwenye tendo la malavi davi ndio poa,yani mnakula gemu za kufa mtu then unamwambia while upo kwenye ecstassy,naamini kama unaujasiri wa kufanya hivyo,huko mjengoni zitashamiri kelele za mahaba mchanganyiko na machungu,na kama sio jasiri waweza badili uamuzi!!
 
Hujapenda wewe uliza wanaojua kupenda kama kina mwanajamiione!
 
Hujapenda wewe uliza wanaojua kupenda kama kina mwanajamiione!

Next time jitahidi kusoma kila nilichoandika, na siyo kupick the part of it and judge.

Lizy
 
hii imenikuna kweli mi mwenyewe natafuta njia ya kumuacha mtu hapa sijui nitumie njia gani
 
Unamwacha eti kwa kuwa una kitu kipya chenye shingo ya upanga na miondoko kama ya Twiga! hukumbuki kabisa mlikotoka...lazima utiwe ngeu ati!

Ebo Jirani!
Ngeu tena!..kama limepinda halinyooki..kaza roho tafuna jiwe hadi kieleweke...au anza mbele.Yote maisha tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…