Yathibitika kuwa profesa Jay ndie msanii wa Tanzania mwenye VVU (Vina Vya Ukweli)

Nilikuwa niko njiani kulitafuta neno linalokufaa bahati yako kumbe ulimaanisha hivi, basi sawa
 
Huhuuuuuuu....nimeshusha pumzi kwa kasi sn
 
usituharibie siku tena mkuu maana ukitaka kujua ni kiasi jay a.k.a jizzo anakubalika kwetu fans wake umwongelee vibaya,kusema kweli hatutakuelewa katu
 
Nash Mc pia ana V.V.U [Vina Vikali Usipime].
 
enzi za yale magazeti ya jioni dar leo na alasiri kuna siku likukuja na kichwa cha habari fronti peji . *OSAMA aibukia msibani mbeya* tulinunua kama njugu
 
yehuuuuuu! maana jasho lilikua limeshaanza kunitoka kwenye meno
 
Wadau mbalimbali wa muziki hapa nchini, wote kwa pamoja wamesema kuwa Prof Jay ndie msanii aliyeweza kukaa kwenye gemu muda mrefu hapa nchini kwasababu ya VVU.



kirefu cha neno VVU- Vina Vya Ukweli

unaliwa
na akili yako hyo
 
mhhhh kwel kicwa kzur huwa knauzwa GAZETI ,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…