mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Hivi tuwaelewweje nyie wamiliki wa mitandao? hasa AIRTEL ambayo mie nimetumia sijajua CHEKA katika hili!
Ndo nini mnatuambia ukijiunga na kifurushi then unaweza piga mitandao yote kwa hicho kifurushi wakati sivyo!
Nimeshangaa kwakuwa nimejiunga na hicho kifurushi ila ukipiga TTCL tu inakuwa imekula kwako unakatwa kama kawa, ina maana TTCL sio moja ya mitandao au? na kama sio kwanini msiseme basi kuwa TTCL haihusiki (najua hairuhusu ) lakini mtueleweshe kuwa zile simu za mezani haihusiki katika kifurushi, ingawaje TTCL wana simu za mkononi pia....huu ni wizi kabisa maana mtu unajua ndo hela hiyo hiyo kumbe uwongo! mmekuwa mkitutangazia ukijiunga na kifurushi unapiga kooooteee sasa TTCL mbona mnachaji tena...jirekebisheni!