Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #41
Rutashubanyuma yafaa akuite hivyo
Kila akija wamfanya asusa
Kusema yalo moyoni
Ilimpasa kwa lazima
Angali wako mwendo
Kila ukutanapo nae
najaribu kutafuta maana halisi ya kukuita kigodoro... labda kimbaumbau chembamba kiasi kwamba akifananisha na kigodoro kidogooo chembamba kilichochokachoka ambacho ukilalia badala ya kupata raha unaumiza mbavu..... !!! najaribu tu kujenga taswira kuwa that thing between two legs ndio alikifananisha na kigodogo hicho!
yaani hata wewe Mr Rocky umenitupa mkono............bsi mie kwisha khabari yangu kabisa............
[MENTION]Kukutupa yahitaji moyo
Ukweli lazima usemwe
Rutashubanyuma fanya lilokuweka
Usimfanye mwenzio asusa
Yafaa kwenda taratibu
Kufikia lako lengo
mr Rock mie kasi sina ila suluhu natafuta tatizo mwandani kesha nikata maini hata kunisikiza hataki....wajamani kwa nini harekebishi kauli yake?
dah pole mwaya inaelekea yy akija kwako huwa unamchinjilia mbali bila utayari wake, sasa nakushauri upunguze jazba, papara na uroho,kuwa mpole na mstarabu hata ukitaka kumchinja analaza mwenyewe shingo yake taratiiibu tayari kwa maangamizo, akikataa uwe mtulivu na kama umeshindwa waachie wenzio
Wamfanya mwenzio asusa
Kila ajapo kwako
Nenda nae taratibu
Kufika lako lengo
Kwako imekuwa jehanam
Kupafika lazima awaze
Mr Rocky tangia lini penzi likwa jehanamu..........penzi ni neema na ndiyo maana Bwana anena............"HE who finds a wife has found a good thing, and will obtain favour from the LORD"...............PROVERBS 18:22