Yaweza kunigharimu shilingi ngapi?

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2022
Posts
1,576
Reaction score
3,094
Habari kwenu wajenzi wa JF, naweza simamisha mijengo Yenye hii ramani Kwa fedha kiasi gani?

 
Hiyo ramani ya kwanza nimeona nyumba ya kufanana na hivo ilikua kanisa linajenga kwa ajili ya Mchungaji wake, ilicost 70M pamoja na taa kila kitu isipokua furniture tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…