Yawezekana ama kuna nguvu za ajabu katika hili

Yawezekana ama kuna nguvu za ajabu katika hili

Shareef Conscious

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
522
Reaction score
343
Licha ya kuonyesha mtizamo wangu ktk hili,ila sijajifunga ktk box hivyo niko huru ktk kufikiri juu ya fikra za wengine,maoni na mitizamo yao ktk hili
IMG_20181008_192036_184.jpg
IMG_20181008_192014_356.jpg
 
Kwahyo mskti ndyo una faida kuliko uhai wa watu waliopoteza?

Hakuna uhusiano na nguvu za ajabu bhali ni uimara wa jengo lenyewe.
 
Kila thread ninayofungua leo ni mambo ya kidini tuu, mmetumwa huko madrasa?
 
Mara nying muslim wanasifia majengo yao km hayajapata madhara
Lkn ukienda sehem km Syria , Iraq nk, kuna misikiti imebomoka kwa kupigwa mabomu Allah hajaikinga
Maajab
 
Back
Top Bottom