Mfano Toyota Noah road tourer na super extra lymo,zote injini ni 3sfe-sr40, je inawezekana gari moja hapo ikawa imara kushinda nyingine? Wakati zote model ya injini ni moja.
Gari sio engine tu, pia na mifumo mingine. kama hayo magari yangekuwa sawa basi kungekuwa na model moja. Kwa sababu kuna models tofauti basi jua kuna utofauti mkubwa sana ndio maana yakatengenezwa tofauti.