Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Sasa Feisal na Ardhi wewe tutusa utachaguwa nini?Gongowazi wamepigwa KO lazima wamuachie aende anakotaka kwenda.
Ndiyo yaani ni kama vile hunapitia hile barabara ya Morogoro road!Hazam ni daraja la sarenda bridge?
Huko uliko kwenye familia yako, ninauhakika wakiambiwa wachague kati ya Ardhi na uwepo wako, watachagua ardhi.Sasa Feisal na Ardhi wewe tutusa utachaguwa nini?
Na amewapiga KO vizuri...Feitoto ameshinda[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Na amewapiga KO vizuri...
Ila hili Mama alikuwa ni lazima tu aliongelee..
Kabisa Mama D..Yanga walijifedhehesha sana kwa issue ya feitoto
Arudi kufanya nini!?Anarudi utopoloni yule
Wekeni hela mchukue feiYanga walijifedhehesha sana kwa issue ya feitoto