HahahhaNdiyo yaani ni kama vile hunapitia hile barabara ya Morogoro road!
Sasa Feisal na Ardhi wewe tutusa utachaguwa nini?
Rais amekosea sana, na amekuwa biased, au kwasababu kile kidogo ni kizanzibari? faiza anachotakiwa kuelewa ni kwamba, siasa hazitamsaidia, mimi sijawahi kumkubali hata siku moja afu huwa naona hajui mpira.ndio maana hata nje hawezi kwenda kwasababu ya kichwa cha kamasi kama chake.Kuna uzi nilishawahi kuupandisha humu kama sio kuuchangia, kuwa zile sarakasi za kipindi kile kuna wana walimchanua kuwa anatumika kidhuluma.,ila next move yake ilikua iwe Simba SC, Azam FC ilikua gharasha tu.
Na iwe na linakua.
Kabla ya pilau hii
hiyo ndege sio ya Rais, ni ndege ya kwetu, halafu haya maamuzi ya mtu mmoja inabidi ifike mahali Tanzania tuyakatae. Katiba mpya ndio umuhimu wake nauona hapa, sasa hiyo ndege kwenda algeria na ni ndege ya biashara, ina maana Rais ametoa pesa kugarimia kibiashara au ameamuru tu kwamba ndege ambayo inatakiwa kuingiza pesa kibiashara iende huko? audit ya pesa hizo zinatoka wapi?za mtu binafsi, za taasisi? zinatoka kwa kifungu gani? au ukiwa Rais unaweza kutumia pesa yetu upendavyo?Yaani mpewe ndege kwenda na kurudi Algeria,mpewe mamilioni ya kodi zetu na ubwabwa wa ikulu halafu mlete fyoko fyoko fyoko !!!!
kwani mkataba unasemaje, na Rais anaposema wakalimalize, wakalimalize kinyume na mkataba? ana maanisha nini?Yanga walijifedhehesha sana kwa issue ya feitoto
Mbona mabango ya "ASANTE MAMA, 2025 ASIPINGWE" mliyajaza uwanjani, kama kweli mnapinga siasa michezoni mbona zilipokuja nyuzi za kuyapinga mliziponda, au kwakua mlikuwa wanufaika?Rais amekosea sana, na amekuwa biased, au kwasababu kile kidogo ni kizanzibari? faiza anachotakiwa kuelewa ni kwamba, siasa hazitamsaidia, mimi sijawahi kumkubali hata siku moja afu huwa naona hajui mpira.ndio maana hata nje hawezi kwenda kwasababu ya kichwa cha kamasi kama chake.
Hela ilishawekwa kitambo we unafikiri fei alitoa wapi 112M?Wekeni hela mchukue fei
ukweli mchungu ni kwamba, Rais hatakiwi kuingilia timu za mpira, kama anavyoonekana. kama mkataba unasema vingine na dogo anaonyesha kiburi, hatakiwi kutulazimisha kukubaliana naye, tutaweka mfano mbaya. na hapo mchezaji yeyote atakuja na mambo ya kiswahili ya kwenda kinyume na mkataba akijua kuna Rais atamtetea. ili michezo iende mbele hatuhitaji hawa wanasiasa waingilie kwa namna yeyote, na zaidi wengi wanaona anatetewa labda kwasababu ni mzanzibari. kiburi cha huyo dogi kisimchafue hata Rais na Rais ana mambo mengi na ya muhimu kuyafanya kuliko kufualia Faisal. tujifunze hata kwa marais wa nchi zingine tu kama wanaweza kuingilia mambo kama haya.Mbona mabango ya "ASANTE MAMA, 2025 ASIPINGWE" mliyajaza uwanjani, kama kweli mnapinga siasa michezoni mbona zilipokuja nyuzi za kuyapinga mliziponda, au kwakua mlikuwa wanufaika?
Tulieni siasa iamue.
Mfamfanya nini?Kwasasa hana kiwango cha kucheza Yanga.
Yaliyowakuta hakina Domayo, Tshimbimbi, Gadiel, Nyonzima nk ajiandae naye kumkuta.
Kwa fabrice ngona nakataa,jamaa majeruhi sana.Simba wajiangalie sana usajili wao.
No 10.
Clatus chama.
Saido Ntibazonkiza.
Moses phili.
FEISAL SALUM.
No 8.
Fabrice NGOMA.
Sadio Kanute
No6
Wajitahidi kupata kiungo mmoja WA ukabaji
Utajua akisha rudiArudi kufanya nini!?
ila usajili wa manzoki simba imepatia kiufupi tumelamba dumeSimba wajiangalie sana usajili wao.
No 10.
Clatus chama.
Saido Ntibazonkiza.
Moses phili.
FEISAL SALUM.
No 8.
Fabrice NGOMA.
Sadio Kanute
No6
Wajitahidi kupata kiungo mmoja WA ukabaji
Siku zote mla huliwa.faisal ameleta mfano mbaya sana kwa tasnia ya mpinga Tanzania. jeuri na kibri akijua ataonewa huruma. tutegemee wachezaji wengine wengi wakifuata mfano wake, na labda kwasababu sio wa kisiwani wanaweza wasipate mtetezi.