Yaya atoroka na mtoto na kudai pesa kutoka kwa mama

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Sharon Chepkoech (24) alikamatwa siku ya Jumatano, Aprili 10, baada ya kutoroka na mtoto wa miezi miwili na kisha kutuma ujumbe wa simu akimtaka mama wa mtoto ampatie pesa kiasi cha Ksh 10,000

Kwenye ujumbe huo, Sharon alitishia kusafiri na mtoto huyo hadi nchini Malawi iwapo hangepewa pesa alizokuwa akizitaka

Muda mfupi baada ya kukamatwa kwake sharon alihojiwa katika kituo cha Polisi cha Shauri Moyo kabla ya kusafirishwa hadi Kiamumbi mtaani Mwiki

Kwa mujibu wa Mary Ndegwa ambaye ni mama wa mtoto huyo, yaya huyo alikuwa amekaa nao kwa wiki mbili tu, kabla ya jaribio la kutoweka na mwanawe

Maafisa wa polisi, walifanikiwa kumnasa mwanamke huyo kwa kutumia wimbi la mwasiliano kwenye simu aliyokuwa akiitumia.
 

Ningekuwa mie police, nikishakamata mtu kama huyu mtoto akarudi namwachiq
 
Tz is just like a big ugly cry baby soiling all the available diapers at the local shopping center.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…